Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube

December 2, 2011

BREAKINGNEWS..............MSANII MR. EBO AFARIKI DUNIA

Habari za kusikitisha zilizotua hivi punde katika mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com kutoka mkoani Arusha zinadai kuwa msanii maarufu aliyejizolea umaarufu kwa kibao chake cha Mimi Mmasai Bwana Mr Ebo amefariki dunia mapema leo

Mwandishi wa mtandao huu kutoka Arusha John Samwel anaripoti kuwa kifo cha msanii huyo kimeacha simanzi kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Arusha .

Imedaiwa kuwa Msanii huyo alikuwa akisumbuliwa na homa kwa muda mrefu na kutibiwa katika Hospital mbali mbali hapa nchini na nje ya nchi na baada ya hapo aliamua kupata matibabu ya dawa za kienyeji akiwa nyumbani kwake .

Taarifa zaidi juu ya kifo cha msanii huyo utaendelea kuzipata katika mtandao huu.
Share this article :

2 comments:

Anonymous said...

RIP MR EBO HAKIKA WATANZANIA TUNATAMBUA MCHANGO WAKO KATIKA TASNIA YA MUZIKI

Anonymous said...

Kifo cha Mr . Ebo sio pigo kwa watanzania tu mbali ni kwa watu wa Africa mashariki na wapenzi wa nyimbo zake ulimwenguni.
Nderitu wa laikipia county, Kenya.

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE

 
Mzee wa matukio daima © Copyright 2016. All Rights Reserved.

Powered by Mkami Jr.
Back to TOP