October 2, 2011

MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA IGUNGA CCM NA CHADEMA WACHUANA VIKALIMatokeo ya uchaguzi mdogo jimbo la Igunga yanaendelea kutolewa huku CCM na Chadema vikiendelea kuchuana vikali na taarifa za awali zilizotolewa na kada wa CCM Januari Makanda zinadai kuwa CCM imefanikiwa kuongoza kata vitu sita ambavyo ni ngome ya Chadema vituo hivyo ni Itunda, 664 Mkinga 1035 Nguvu moja 634 na Mtogo 730 japo bado matokeo rasmi hayajatangazwa vuta subiri

0 Maoni:

Post a Comment

KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA

 
· Powered by Mkami Jr