July 22, 2010

SHERIA MPYA ZA GHARAMA ZA UCHAGUZI TANZANIA HIZI HAPA..
Kamanda wa PCCB mkoa wa Iringa Bw.Donasian Kessy

SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI
1.0 Kwa nini Sheria ya Gharama za Uchaguzi imetungwa

(a) Kuthibiti matumizi mabaya ya fedha katika shughuli za Uchaguzi
(b) Kuona mtindo wa matumizi mabaya ya fedha katika Uchaguzi kuwa ni utamaduni wetu.
(c) Kuzuia uongozi kugeuzwa kuwa ni kitu cha kununuliwa
(d) Kuzuia wapigakura kuchuuza kura zao kwa wagombea

SOma hapa zaidi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE